Uwanja wa Michezo wa Hamayama Athletics
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Hamayama Athletics ni uwanja wa michezo nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1980 kwenye mji wa Izumo, Shimane Chugoku nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya FC Kagura Shimane na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 15,700.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Hamayama Athletics kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |