Uwanja wa Michezo wa Gran Parque Central
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Gran Parque Central ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Uruguay. Ulitengenezwa mnamo mwaka 1900 kwenye mji wa Montevideo nchini Uruguay. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Nacional de Football na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 34,446.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Uruguay". www.es.fifa.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-10-01. Iliwekwa mnamo 2024-12-12.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Gran Parque Central kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |