Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Chiba Sports Center

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Chiba Sports Center

Uwanja wa Michezo wa Chiba Sports Center ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1966 kwenye mji wa Chiba city, Chiba nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 30,000.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Chiba Sports Center kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.