Uwanja wa Michezo wa Arigato Service Dream
Mandhari
Uwanja wa Michezo wa Arigato Service Dream ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 2017 kwenye mji wa Imabari, Ehime nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya FC Imabari na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 5,030.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Arigato Service Dream kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |