Nenda kwa yaliyomo

Uuaji wa Jonathan Ferrell

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mnamo 14 Septemba, 2013, Jonathan Ferrell (aliyezaliwa 11 Oktoba 1988), [1]Mchezaji wa zamani wa chuo kikuu cha Florida A&M University Rattlers, alidaiwa kushtakiwa na kupigwa risasi na kuuawa na afisa wa polisi Randall "Wes. " Kerrick huko Charlotte, Kasikazini mwa Carolina.[2] Kerrick alishtakiwa kwa kuua bila kukusudia, lakini hakuhukumiwa.

Kupigwa risasi[hariri | hariri chanzo]

Ferrell, Mmarekani mwenye asili ya Kiafrika, hakuwa na silaha wakati alipopigwa risasi. Alipokuwa amempa mfanyakazi mwenzake lifti kwenda nyumbani usiku wa 14 Septemba, 2013,[3] aligongesha gari lake kisha akaenda kwenye nyumba ya jirani katika mtaa wa Bradfield Farms na kubisha mlango. Mkazi mmoja, Sarah McCartney, alipigia simu polisi, maafisa watatu wakaja.[4][5][6][7] kisha Ferrell akakimbia kuelekea walipo maafisa hao, ambapo mmoja wa maofisa alirusha ngumi kwa Ferrell na kumkosa.[8] Afisa huyo huyo, Thornel Little, alitoa ushahidi kwamba Ferrell alisema "nipige risasi" mara mbili alipokuwa akiwakimbilia maafisa. Kerrick kisha akamfyatulia risasi Ferrell, akampiga risasi kumi na mbili na kumuua.[9]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "SortedByName.com". sortedbyname.com. Iliwekwa mnamo 2022-04-16.
  2. Katz, Jonathan M. (2015-08-21), "Mistrial for Charlotte Police Officer in Death of Unarmed Black Man", The New York Times (kwa American English), ISSN 0362-4331, iliwekwa mnamo 2022-04-16
  3. Christina Cooke in Charlotte, North Carolina (2015-08-22). "Mistrial for officer and no justice for unarmed man: family vows to fight on". the Guardian (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-04-16.
  4. http://www.charlotteobserver.com/news/nation-world/national/article38227671.html
  5. "Police Officer Accused in Fatal Shooting Resigns From Force". BET (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-04-16.
  6. Reuters (2015-08-21). "Mistrial for Police Officer Who Killed Unarmed Black Man in North Carolina". Newsweek (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-04-16. {{cite web}}: |author= has generic name (help)
  7. http://www.charlotteobserver.com/news/local/crime/article29700511.html
  8. Katz, Jonathan M. (2015-08-21), "Mistrial for Charlotte Police Officer in Death of Unarmed Black Man", The New York Times (kwa American English), ISSN 0362-4331, iliwekwa mnamo 2022-04-16
  9. Katz, Jonathan M. (2015-08-21), "Mistrial for Charlotte Police Officer in Death of Unarmed Black Man", The New York Times (kwa American English), ISSN 0362-4331, iliwekwa mnamo 2022-04-16
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uuaji wa Jonathan Ferrell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.