Nenda kwa yaliyomo

Utumiaji wa nguvu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Utumiaji wa nguvu, katika mazingira ya utekelezaji wa sheria, unaweza kufafanuliwa kama "nguvu inayohitajika na polisi kushurutisha mtu asiyependa kufuata sheria".

Mafunzo ya kutumia nguvu yanaweza kusaidia maafisa ili kutekeleza sheria [1].

Lengo la mafunzo hayo ni kusawazisha hali ya usalama na masuala ya maadili.

Polisi huruhusiwa kutumia nguvu za kimwili kwa kiwango kinachohitajika ili kupata utii wa sheria au kurejesha utulivu pale tu zoezi la ushawishi, ushauri na onyo linapoonekana kutotosheleza[2].

  1. "Police Use of Force". National Institute of Justice (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-07-30.
  2. "Sir Robert Peel's Nine Principals of Policing ... LA Community Policing". lacp.org. Iliwekwa mnamo 2022-07-30.