Nenda kwa yaliyomo

Ukatili wa majumbani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Unyanyasaji wa nyumbani)

Ukatili wa majumbani (pia hujulikana kama unyanyasaji wa nyumbani au unyanyasaji wa kifamilia) ni unyanyasaji unaotokea katika mazingira ya nyumbani, kama vile katika ndoa au watu wanaoishi pamoja. Hufanywa na mmoja wa watu katika uhusiano wa karibu dhidi ya mtu mwingine, na unaweza kutokea katika uhusiano kati ya wenzi wa zamani au wenzi wanaoishi pamoja.

Katika maana pana zaidi, unyanyasaji wa majumbani unahusisha pia ukatili dhidi ya watoto, wazazi, au wazee. Unaweza kuchukua aina nyingi, ikiwa ni pamoja na unyanyasaji wa kimwili, unyanyasaji wa maneno, unyanyasaji wa kihisia, unyanyasaji wa kiuchumi, unyanyasaji wa kidini, unyanyasaji wa uzazi, au unyanyasaji wa kijinsia. [1][2]

  1. Woodlock, Delanie (2017). "The Abuse of Technology in Domestic Violence and Stalking". Violence Against Women (kwa Kiingereza). 23 (5): 584–602. doi:10.1177/1077801216646277. ISSN 1077-8012. PMID 27178564. S2CID 26463963.
  2. "WESNET Second National Survey on Technology abuse and domestic violence in Australia" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka (PDF) kutoka chanzo mnamo Februari 26, 2021. Iliwekwa mnamo 4 Machi 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ukatili wa majumbani kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.