Ulimi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ulimi wa twiga.

Ulimi ni msuli ambao hupatikana ndani ya kinywa ambao husaidia umeng'enyaji wa chakula katika mfumo wa chakula wa wanyama.

Ulimi husaidia katika umezaji wa chakula katika mfumo wa mnyama. Pia ulimi husaidia katika ulainishaji wa chakula ili kiweze kulainika na kusagwa na meno na kisha kumezwa kwenda katika mifumo mingine ya chakula katika mwili wa mnyama au binadamu .

Ulimi husaidia katika matamshi na husaidia katika kutamka lugha kwa ufasaha.

Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ulimi kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.