Ukuti ukuti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ukuti ukuti ni wimbo unaotumika katika mchezo asilia ya watoto wadogo wa Afrika Mashariki kwa kusimama katika duara na kushikana mikono; kisha hukimbia kwa kujisogeza kufuata duara hilo huku wakikariri "Ukuti ukuti".

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ukuti ukuti kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.