Nenda kwa yaliyomo

Ugwuele

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ugwuele ni jamii Waigbo huko Uturu, katika eneo la Serikali ya Mtaa wa Isuikwuato, Jimbo la Abia nchini Nigeria ambalo linajumuisha eneo la Zama za Mawe ambayo yanatoa ushahidi kwamba wanadamu waliishi katika eneo hilo tangu miaka 250,000 iliyopita.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Henry Cleere (1984). Approaches to the archaeological heritage: a comparative study of world cultural resource management systems. Cambridge University Press. uk. 107. ISBN 0-521-24305-X.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ugwuele kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.