Ufalme wa Nagash

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ufalme wa Nagash ulikuwa ufalme wa Enzi ya kati uliokuweko Kaskazini Mashariki mwa Afrika.

Kulingana na Al-Yaqubi, ilikuwa moja ya falme sita za Beja ambazo zilikuwepo katika mkoa huo wakati wa karne ya 9. Eneo la ufalme lilikuwa kati ya Aswan na Massawa.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]