Uchanguaji

Uchanguaji wa chuma.
Uchanguaji (kwa Kiingereza: sorting) ni mfumo unaotumiwa ili kupanga vitu kwa utaratibu.
Katika utarakilishi, uchanguaji ni kupanga data ili kupata taarifa mtandaoni, kwa mfano. Wanaprogramu hutumia kanuni ya programu ili kufanya uchanguaji.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).