Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 1992

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uchaguzi wa Rais wa Marekani, mwaka wa 1992 ulikuwa wa 52 katika historia ya Marekani. Ukafanywa Jumanne tarehe 3 Novemba. Upande wa "Democratic Party", mgombea Bill Clinton (pamoja na kaimu wake Al Gore) aliwashinda mgombea wa "Republican Party", Rais George H. Bush (pamoja na kaimu wake Dan Quayle), na mgombea Ross Perot.

Matokeo[hariri | hariri chanzo]

Clinton akapata kura 370, na Bush 168. Ramani yaonyesha kura kwa kila jimbo.