Ross Perot
Mandhari
Henry Ross Perot (amezaliwa 27 Juni, 1930) ni mfanyabishara kutoka Texas, Marekani. Hasa anajulikana kwa kugombea urais kama mgombea wa tatu, yaani nje ya vyama vya kawaida, miaka ya 1992 na 1996. Mara mbili zote akashindwa na Rais Bill Clinton.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ross Perot kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |