Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 1904

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uchaguzi wa Rais wa Marekani, mwaka wa 1904 ulikuwa wa 30 katika historia ya Marekani. Ukafanywa Jumanne tarehe 8 Novemba. Upande wa "Republican Party", Rais Theodore Roosevelt (pamoja na kaimu wake Charles Fairbanks) alimshinda mgombea wa "Democratic Party" Alton Parker (pamoja na kaimu wake Henry Davis).

Matokeo[hariri | hariri chanzo]

Roosevelt akapata kura 336, na Parker 140. Ramani yaonyesha kura kwa kila jimbo.