Ua Pou

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ua Pou ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa. Kiko upande wa kusini wa kisiwa cha Nuku Hiva. Eneo la kisiwa ni 106 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Hakahau. Mwaka wa 2007, idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 2157. Watu wakaao kisiwani kwa Ua Pou huongea Kimarkesa ya Kaskazini na Kitahiti.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.