Nuku Hiva

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Nuku Hiva ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa. Kiko upande wa magharibi wa kisiwa cha Ua Huka. Eneo la kisiwa ni 339 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Taiohae. Mwaka wa 2007, idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 2660. Watu wakaao kisiwani kwa Nuku Hiva huongea Kimarkesa ya Kaskazini na Kitahiti.

Sciences de la terre.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nuku Hiva kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.