Kimarkesa-Kaskazini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kimarkesa ya Kaskazini)

Kimarkesa ya Kaskazini ni lugha ya Kiaustronesia nchini Polinesia ya Kifaransa inayozungumzwa na Wamarkesa, hasa kwenye visiwa vya Nuku Hiva, Ua Huka na Ua Pou. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kimarkesa ya Kaskazini imehesabiwa kuwa watu 5390. Wamarkesa ya Kaskazini wengi wanatumia lugha ya Kitahiti badala ya lugha yao ya asili, yaani lugha ya Kimarkesa ya Kaskazini iko hatarini mwa kutoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimarkesa ya Kaskazini iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimarkesa-Kaskazini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.