Ua Huka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Ua Huka ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa. Kiko upande wa mashariki wa kisiwa cha Nuku Hiva. Eneo la kisiwa ni 83 km². Kuna vijiji vitatu kisiwani viitavyo Vaipaee, Hane na Hokatu. Mwaka wa 2007, idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 571. Watu wakaao kisiwani kwa Ua Huka huongea Kimarkesa ya Kaskazini na Kitahiti.

Sciences de la terre.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ua Huka kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.