Nenda kwa yaliyomo

KIRASA

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka URL)
Mfano wa anuani ya mtandao.

Kijilisi rasilimali sare (KIRASA), vilevile anuani ya mtandao, ni marejeleo yanayoonyesha pahali pa rasilimali ya mtandao.[1][2]

  1. Kamusi Sanifu ya Kompyuta. Chuo Kikuu cha Dar es Salaam: Taasisi ya Taaluma za Kiswahili. 2011. ku. 190–191.
  2. Petzell, Malin (2005). "Expanding the Swahili Vocabulary". Africa & Asia. 5: 85–107.