UNRISD

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

UNRISD ni kifupisho cha United Nations Research Institute for Sustainable Development (Taasisi ya Utafiti ya Umoja wa Mataifa ya Maendeleo Endelevu) ni kitengo cha Umoja wa Mataifa. Ofisi yake iko Geneva, Uswisi.

Ilianzishwa mwaka 1963.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiLettreMini.svg Makala hii kuhusu "UNRISD" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.