UNHCR

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

UNHCR ni kifupisho cha United Nations High Commission for Refugees yaani Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Wakimbizi.

Shabaha ya shirika hili ni usaidizi kwa wakimbizi duniani. UNHCR inajenga makambi ya kupokea wakimbizi wakati wa vita, inawasaidia kurudi nyumbani baada ya mapigano au kuhamia nchi nyingine.

Makao makuu ya UNHCR yako Geneva, Uswisi. Shirika hili lilipokea mara mbili Tuzo ya Nobel ya Amani kwa ajili ya huduma na mafanikio yake ya kuokoa maisha, wakati wa 1954 na 1981.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Gil Loescher, Alexander Betts and James Milner. UNHCR: The Politics and Practice of Refugee Protection into the Twenty-First Century, Routledge. 2008.
  • Alexander Betts. Protection by Persuasion: International Cooperation in the Refugee Regime, Cornell University Press. 2009.
  • Gil Loescher. The UNHCR and World Politics: A Perilous Path. Oxford University Press. 2002
  • Fiona Terry. Condemned to Repeat? The Paradox of Humanitarian Action. Cornell University Press. 2002.
  • Nicholas Steiner. Problems of Protection. Routledge. 2003.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "UNHCR" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.