TypeScript

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
TypeScript
TypeScript Logo
Shina la studio namna : namna nyingi inaozingatiwa kuhusu kipengee
Imeanzishwa Februari 12 2012 (2012-02-12) (umri 12)
Mwanzilishi Anders Hejlsberg
Ilivyo sasa Ilivutwa na: C#, Java, JavaScript

Ilivuta: AtScript, AssemblyScript

Mahala Microsoft
Tovuti https://www.typescriptlang.org

TypeScript ni lugha ya programu. Iliundwa na Anders Hejlsberg na ilianzishwa tarehe 12 Februari 2012. Iliundwa ili kuumba programu. Leo tunatumia TypeScript 3.8.2. Ilivutwa na Javascript.

Inaitwa TypeScript kwa sababu ni mageuzi ya Javascript, lugha ya programu nyingine.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Ilianzishwa 12 Februari 2012 nchini Marekani. Lakini Anders Hejlsberg alianza kufanya kazi kuhusu TypeScript mwaka wa 2010.

Falsafa[hariri | hariri chanzo]

Namna ya TypeScript ni namna nyingi na inaozingatiwa kuhusu kipengee.

Sintaksia[hariri | hariri chanzo]

Sintaksia ya TypeScript ni rahisi sana kinyume cha lugha za programu nyingine kama C++, COBOL au C sharp. Ilivutwa na sintaksia ya Java, lugha ya programu nyingine.

Mifano ya TypeScript[hariri | hariri chanzo]

Programu kwa kuchapa « Jambo ulimwengu !».

var ujumbe:string = "Jambo ulimwengu !" ;
console.log(ujumbe);

Programu kwa kupata factoria ya namba moja.

module FactorialModule {
	export class FactorialClass {
		fact: number = 1;
		factorial(n: number) {
			while (n > 0) {
				this.fact = this.fact * n;
				n = n - 1;
			}
			return this.fact;
		}
	}
}

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Bierman, G., Abadi, M., & Torgersen, M. (2014, July). Understanding typescript. In European Conference on Object-Oriented Programming (pp. 257-281). Springer, Berlin, Heidelberg.
  • Richards, G., Zappa Nardelli, F., & Vitek, J. (2015). Concrete types for TypeScript. In 29th European Conference on Object-Oriented Programming (ECOOP 2015). Schloss Dagstuhl-Leibniz-Zentrum fuer Informatik.