Nenda kwa yaliyomo

Tuzo za Kora

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Tuzo za kora)

Tuzo za Kora ni tuzo za muziki zinazotolewa kila mwaka kwa mafanikio ya muziki barani Afrika katika nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara. Tuzo hizo zilianzishwa mwaka 1994 na mfanyabiashara mzaliwa wa Benin , Ernest Adjovi, baada ya majadiliano nchini Namibia na Rais wa nchi hiyo Hage Geingob.[1]Tuzo hilo limepewa jina la kora ambalo lilikuwa jina la mwimbaji maarufu wa Afrika Magharibi.

  1. The Namibian. "Buying into Adjovi's empty dream". The Namibian (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-05-07.
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tuzo za Kora kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.