Tuzo za kila Mwaka za Muziki za Namibia
Mandhari
Tuzo za Kila Mwaka za Muziki za Namibia (NAMAs) ni sherehe kubwa zaidi ya tuzo nchini Namibia. Ilianzishwa mwaka 2011 na MTC Namibia na Shirika la Utangazaji la Namibia.Wangewatunukia wanamuziki kombe la NAMA kwa kutambua mafanikio yao bora katika tasnia ya muziki ya Namibia.Pamoja na NAMA, mwanamuziki huyo angepokea ufadhili, mikataba ya kuidhinishwa na zawadi za pesa taslimu[1][2][3].
Jamii
[hariri | hariri chanzo]Ifuatayo ni orodha kamili ya kategoria(Jamii) zinazopatikana katika Tuzo za Kila Mwaka za Muziki za Namibia
- Bora kiafrikana
- Bora Ma/gaisa
- Bora Oviritje
- Bora Shambo
- Bora Soukous/Kwasa
- Afro Pop ( pamoja na disko la Township )
- Ushirikiano Bora
- Bora nyimbo za injili
- Kwaito Bora
- R&B Bora
- Rap/Hip-Hop Bora
- Bora Rock/Mbadala
- Nyumba Bora
- Reggae Bora
- Best Kizomba
- Ala Bora (pamoja na Jazz)
- Acapella Bora
- Msanii Mwenye Nidhamu Zaidi
- Kundi Bora au Duo
- Msaani Bora Mpya wa Mwaka
- Wimbo Bora/ isiyo albamu
- Mafaniko Bora ya Kimataifa
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Namibian Annual Music Awards unveils dates for its last edition". Music In Africa (kwa Kiingereza). 2020-08-13. Iliwekwa mnamo 2023-02-26.
- ↑ "Namibia Music Awards 2012". web.archive.org. 2012-04-20. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-04-20. Iliwekwa mnamo 2023-02-26.
- ↑ "WINNERS - NAMIBIA ANNUAL MUSIC AWARDS". web.archive.org. 2013-04-27. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-04-27. Iliwekwa mnamo 2023-02-26.