Tuzo za Muziki za MTV Afrika 2008

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tuzo za kwanza za kila mwaka za MTV Muziki Afrika zilifanyika tarehe 22 Novemba 2008 huko Abuja, Nigeria katika The Velodrome[1]. Kipindi kiliandaliwa na Trevor Nelson. Wateuliwa walitangazwa tarehe 7 Oktoba 2008.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. http://news.myjoyonline.com/entertainment/200810/21355.asp
  2. http://ayenithegreat.wordpress.com/2008/10/09/nominees-for-mtv-africa-music-awards/