Tuzo za Groove

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tuzo ya Groove

Tuzo Groove ni tuzo za kila mwaka za Kenya. Washindi huchaguliwa na umma.Tuzo zinahusishwa kusambaa maeneo mbalimbali ya nchi za Afrika Mashariki[1]pamoja na Rwanda[2].imedhaminiwa na Safaricom na tafrija ya MoSound[3].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://allafrica.com/stories/201306031294.html
  2. https://allafrica.com/stories/201305310482.html
  3. https://www.standardmedia.co.ke/entertainment/