Turku

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Aurajoki (Turku).

Turku ni mji wa Ufini wenye wakazi 175.000. Iko kwenye pwani ya kusini ya nchi, mwambaoni mwa Bahari ya Baltiki.

Ilikuwa kitovu cha utamaduni wa Kiswidi katika Ufini lakini leo hii ni asilimia tano pekee za wakazi wanaosema Kiswidi. Kiswidi pamoja na Kifini ni lugha rasmi mjini.

Kuna pia Chuo Kikuu na askofu wa Kanisa la Kilutheri.

Makala hii kuhusu maeneo ya Ufini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Turku kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.