Tura, Misri
Mandhari
Tura (kiarabu cha Misri: طرة Tora IPA: [ˈtˤoɾˤɑ]) yalikua ni machimbo ya chokaa yaliyopo Misri.[1] Eneo hilo lililokua linatambulika na wa Misri kama Troyu au Royu, Eneo hilo lipo katikati ya Kairo na Helwan.[2]Tafsiri ya Jina la kale la eneo hilo lilikosewa na wagiriki waliodhani lilitajwa na watrojan, Jina la mji huo lilikua ni Troia.[3] Eneo hilo linapatikana kwenye mji wa lisaa wa Tora kwenye tawala za mji wa Kairo.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Grimal, Nicholas. A History of Ancient Egypt. p. 27. Librairie Arthéme Fayard, 1988
- ↑ Grimal, Nicholas. A History of Ancient Egypt. p. 111. Librairie Arthéme Fayard, 1988
- ↑ https://web.archive.org/web/20070930155638/http://www.planetware.com/helwan/quarries-of-masara-and-tura-egy-cai-quar.htm