Tuisila Kisinda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Tuisila Rossien Kisinda
Maelezo binafsi
Tarehe ya kuzaliwa 20 Desemba 1990 (1990-12-20) (umri 30)
Mahala pa kuzaliwa    Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Urefu 1.74 m (5 ft 8 12 in)
Nafasi anayochezea Mlengo wa Kushoto
Maelezo ya klabu
Klabu ya sasa Yanga Sc
Namba 29
Klabu za vijana
Maniema 2017-2018

AS Vita 2018-2020


Yanga Sc 2020-Mkopo

Timu ya taifa
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

* Magoli alioshinda

Tuisila Rossien Kisinda (amezaliwa 20 Desemba 1999) ni mchezaji wa kandanda au mpira wa miguu akiichezea klabu ya Yanga Sc ya Tanzania na timu ya taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tuisila Kisinda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.