Tsitongambarika
Mandhari
Tsitongambarika ni msitu wa nyanda za chini kusini mwa Madagaska. Eneo hilo linategemeza spishi nyingi adimu za amfibia, ndege, Lemuri na reptilia, nyingi zikiwa endemic.
Mnamo 2001, liliteuliwa kama Eneo Muhimu la Ndege na BirdLife International na mnamo 2015, eneo la km² 600 lilipata ulinzi wa mazingira na serikali. Hifadhi hiyo ndiyo inayopokea pesa zilizokusanywa na Rutland Birdfair ya 2016 .[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Network Protocols and Algorithms. 7 (4). 2016-01-13. doi:10.5296/npa.v7i4. ISSN 1943-3581 http://dx.doi.org/10.5296/npa.v7i4.
{{cite journal}}
: Missing or empty|title=
(help)
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Tsitongambarika kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |