Nenda kwa yaliyomo

Tsada

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tsada, Paphos

Tsada ni kijiji cha Wilaya ya Paphos magharibi mwa Kupro, karibu sana na kijiji cha Kili na kile cha Kallepia.

Kiko katika urefu wa mita 600 juu ya usawa wa bahari na kina wakazi 1,000 hivi.

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tsada kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.