Troli wa mtandaoni
Mandhari
Kwenye misemo ya mtandaoni, troli ni mtu anayeanzisha ugomvi au anayekasirisha watu kwa kutoa maoni yanayovuruga majadiliano na kugombanisha watu.[1] kwenye majukwaa ya mtandaoni, vyumba vya majadiliano, au blogu kwa nia ya kuchokoza wasomaji.[2]
Miaka ya karibuni vyombo vya habari vimelinganisha tabia hiyo na unyanyasaji wa mtandaoni.
Matumizi
[hariri | hariri chanzo]Kama ilivyoandikwa kwenye makala toka OS News iliyoitwa "Why People Troll and How to Stop Them" (25 January 2012), tafsiri ya troli inajumuisha nia ya mtu lakini tafsiri hii si sahihi, maana hata kama mtu ana nia ya kuchokoza au la, matokeo ni yaleyale.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Definition of troll". Collins English Dictionary. Iliwekwa mnamo 17 Septemba 2012.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Definition of: trolling", PCMAG.COM, Ziff Davis Publishing Holdings Inc. Retrieved on 24 March 2009. Archived from the original on 2013-03-15.
- ↑ Fosdick, Howard. "Why People Troll and How to Stop Them", 25 January 2012.
Soma pia
[hariri | hariri chanzo]- Walter, T.; Hourizi, R.; Moncur, W.; Pitsillides (2012). Does the Internet Change How We Die And Mourn? An Overview Online.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Wikinews has related news: UK court jails man for trolling online tribute pages |
Utetezi na usalama
[hariri | hariri chanzo]- The Trolling Academy – trolling advice, comment, and training
- Get Safe Online – free expert advice on online safety
Tafsiri na historia
[hariri | hariri chanzo]- Usenet and Bulletin Board Abuse katika Open Directory Project
- NetLingo definition
- Urban Dictionary definition
Mijadala
[hariri | hariri chanzo]- Searching for Safety Online: Managing "Trolling" in a Feminist Forum
- How to Respond to Internet Rage
- Malwebolence – The World of Web Trolling; New York Times Magazine, By Mattathias Schwartz; 3 August 2008.
- Internet Trolls Are Narcissists, Psychopaths, and Sadists. Jennifer Golbeck for Psychology Today. 18 September 2014.
- Online Trollsː Harmless Pranksters, or Force of Destruction?
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Troli wa mtandaoni kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |