Nenda kwa yaliyomo

Trojany

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Trojany

Trojany ni kijiji cha Poland, katikati ya miji ya Wołomin na Warshawa katika wilaya ya Wołomin. Kina wakazi 490 (2014).

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Trojany kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.