Trio Da Kali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Trio Da Kali ni kundi la muziki nchini Mali lenye wanachama watatu Hawa Kassé Mady Diabaté (sauti), Lassana Diabaté (balafon) na Mamadou Kouyaté (ngoni). [1] Da Kali ina maana kutoa ahadi kundi hili lilianza wakati wa Sunjata Keita mwanzilishi wa ngome ya Mali empire katika karne ya 13.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Zoë Madonna (April 5, 2018). "Mali's Trio Da Kali brings fresh inspiration to ancient traditions". The Boston Globe. Iliwekwa mnamo October 23, 2018.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Trio Da Kali kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.