Zuwakulu Kisigajiru
Mandhari
(Elekezwa kutoka Trachyphonus erythrocephalus)
Zuwakulu kisigajiru | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Zuwakulu Kisigajiru katika eneo la Mto Manyara, Tanzania
| ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Zuwakulu kisigajiru au zuwakulu kichwa-chekundu (Trachyphonus erythrocephalus) ni kisigajiru wa Kiafrika. Zuwakulu au visigajiru ni ndege wanaopatikana kote duniani. Visigajiru hupata jina lao kutoka kwa jinsi walivyoumbwa mdomoni ambapo kuna sehemu yenye nywele za kugwaruza.
Ndege huyu anatokea katika eneo la Afrika mashariki, kutoka nchi ya Sudan katika eneo la kaskazini hadi nchi ya Tanzania katika eneo la kusini.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- IUCN Red List: Trachyphonus erythrocephalus
- Tanzaniabirds.net: Red-and-yellow barbet