Trabzonspor
Trabzonspor, pia inajulikana kama Trabzonspor Kulübü, ni klabu maarufu ya mpira wa miguu kutoka nchini Uturuki. Klabu ilianzishwa mnamo mwaka 1967 na ina wanachama wapatao 27.000.
Uwanja wao wa nyumbani maarufu unaitwa Hüseyin Avni Aker Stadı mjini Trabzon.
Wachezaji maarufu wa klabu ya Trabzonspor[hariri | hariri chanzo]
- Gökdeniz Karadeniz
- Şenol Güneş
- Shota Arveladze
- Jean-Marie Paff
- Fatih Tekke
- Ali Kemal Denizci
- Kevin Campbell
- Ünal Karaman
- Mehmet Aurelio
- Milan Stepanov
Makocha wa klabu ya Trabzonspor[hariri | hariri chanzo]
- Ersun Yanal (since Januari 2007)
Wachezaji wa klabu kwa msimu wa mwaka wa 2007/2008[hariri | hariri chanzo]
- Selçuk İnan
- Hüseyin Çimşir
- Faty Papy
- Gustavo Colman
- Mark van Bommel
- İbrahim Yattara
- Alanzinho
- Serkan Balcı
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Tovuti rasmi ya Trabzonspor kwa Kiingereza Archived 25 Februari 2011 at the Wayback Machine. pia ipo kwa Kituruki
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Trabzonspor kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |