Tony P. Hall

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tony P. Hall.

Tony Patrick Hall (amezaliwa 1942)[1] ni mwanasiasa, mfanyabiashara na mwanadiplomasia wa Marekani ambaye aliweza kutumikia kama mwanachama wa nyumba ya wawakilishi la Marekani, akiwakilisha Wilaya ya congress ya tatu ya Ohio kuanzia mwaka 1979 hadi mnamo mwaka 2002. [2]Hall hapo nyuma aliweza kutumikia katika Bunge zote mbili za Ohio.

Kuanzia mwaka 2002 mpaka 2006, Hall alitumikia kama balozi wa Marekani kwenye Mashirika ya Umoja wa Chakula na Kilimo, na kama chifu wa Misheni ya Marakeni kwenye Shirika la umoja wa Mataifa iliyoko Roma, amabayo ilijumuisha Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa mataifa (FAO), mpango wa chakula Duniani na Mfuko wa kimataifa wa maendeleo ya Kilimo. Sambamba na hapo Hall aliweza kufanya  katika Mpango wa amani wa Mashariki ya kati akishikiriana na kituo cha utafiti na masomo ya uraisi.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "CBS News/New York Times Ohio Poll, October 2006". ICPSR Data Holdings. 2008-04-15. Iliwekwa mnamo 2022-08-15. 
  2. "Belfrage, Leif Axel Lorentz, (1 Feb. 1910–30 Aug. 1990), former Swedish Ambassador", Who Was Who (Oxford University Press), 2007-12-01, iliwekwa mnamo 2022-08-15