Nenda kwa yaliyomo

Tomasz Frankowski

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tomasz Frankowski (alizaliwa 16 Agosti 1974) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa Poland. Aliwahi kucheza timu ya taifa ya Poland.

Frankowski ameichezea timu ya taifa ya Poland tangu mwaka wa 1999. Frankowski alicheza Poland katika mechi 22, akifunga mabao 10.[1]

Takwimu[hariri | hariri chanzo]

[1]

Timu ya Taifa ya Poland
Mwaka Mechi Magoli
1999 2 0
2000 2 1
2001 0 0
2002 0 0
2003 0 0
2004 3 2
2005 10 7
2006 5 0
Jumla 22 10

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 Tomasz Frankowski at National-Football-Teams.com
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tomasz Frankowski kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.