Tom Heaton

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tom Heaton

Thomas David Heaton (amezaliwa 15 Aprili 1986 ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anacheza kama kipa katika klabu ya Aston Villa F.C. na timu ya taifa ya uingereza.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tom Heaton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.