Tigisis (Numidia)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tigisis (pia inajulikana kama Tigisis ya Numidia ili kuitofautisha na Tigisis ya Mauretania) ulikuwa mji wa kale wenye maboma wa Afrika kaskazini karibu na ile ambayo sasa ni Aïn el-Bordj Algeria; pia ulikuwa karibu na Lambese na Thamagada.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. The Classic Latin Dictionary, Follett, 1957, only gives "Mauritania"
Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tigisis (Numidia) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.