Nenda kwa yaliyomo

Thurston Hunt

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Thurston Hunt (alifariki Lancaster, 31 Machi 1601) alikuwa kasisi Mkatoliki kutoka Uingereza.

Alihukumiwa na kuuawa kwa ajili ya imani sahihi pamoja na Robert Middleton, ambaye pia alikuwa kasisi.

Walitambuliwa kama mashahidi na Kanisa Katoliki, na walitangazwa wenye heri mnamo 1987 na Papa Yohane Paulo II.

Mmoja wa waandishi wa nyakati hizo aliimba:

Hunt's hawtie corage staut,

With godlie zeale soe true,

Myld Middleton, O what tongue

Can halfe thy vertue showe!

(Meaning: Hunt's brave and steadfast courage, with godly zeal so true, and mild Middleton, O what tongue can half show your virtue![1]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.