Thumuni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Thumuni au thumni (kutoka neno la Kiarabu) ni namba wiano inayotaja sehemu ya nane ya jumla fulani. Thumuni nane zinafanya 1.

Inaweza kuandikwa kama au 1/8.

Kama desimali inaandikwa 0.125.

Inalingana na 12.5%.

Zamani ilikuwa pia jina la sarafu ya senti hamsini katika Afrika Mashariki ya Kiingereza.

Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Thumuni kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.