Thongloun Sisoulith

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Thongloun Sisoulith (kwa Kilao: ທອງລຸນ ສີສຸລິດ; amezaliwa 10 Novemba 1945) ni mwanasiasa wa Laos ambaye amekuwa Waziri Mkuu wa Laos tangu mwaka 2016.

Hapo awali alikuwa Naibu Waziri Mkuu kutoka 2001 hadi 2016, na pia Waziri wa Mambo ya nje kutoka 2006 hadi 2016. Yeye ni mwanachama wa Chama cha Mapinduzi cha Watu wa Lao, anashika nafasi ya nne.

Alichaguliwa kuwa Waziri Mkuu wa Laos katika Kongamano la 10 la Chama mnamo 23 Januari 2016.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Thongloun Sisoulith kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.