Nenda kwa yaliyomo

Thomas Steitz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Thomas Steitz

Thomas Steitz (amezaliwa 23 Agosti, 1940) ni mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa amechunguza ribosomi. Mwaka wa 2009, pamoja na Venkatraman Ramakrishnan na Ada Yonath, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Thomas Steitz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.