Ada Yonath

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ada Yonath

Ada Yonath (amezaliwa 22 Juni, 1939) ni mwanakemia kutoka nchi ya Israel. Hasa amechunguza ribosomi. Mwaka wa 2009, pamoja na Venkatraman Ramakrishnan na Thomas Steitz, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ada Yonath kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.