Thomas Briels

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Thomas Briels (alizaliwa Agosti 23, 1987)[1] ni Mbelgiji ambaye ni mchezaji wa mpira wa magongo anyechezea kama mshambuliaji wa team ya Uholanzi Hoofdklasse Klabu ya Oranje-Rood. Ameichezea timu ya taifa ya Ubelgiji[2] jumla ya mara 359 kuanzia 2006 hadi 2021.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Thomas Briels Biography, Age, Height, Wife, Net Worth, Family (en-US). Celebrity Age Wiki. Iliwekwa mnamo 2021-12-01.
  2. Thomas BRIELS. Olympics.com. Iliwekwa mnamo 2021-12-01.