Thiava, Numidia
Mandhari
Thiava ulikuwa mji wa kale wa Waberberi huko Numidia, na baadaye katika Ufalme wa Wavandali ambapo ilikuwa jimbo la Kanisa Katoliki la Kilatini.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Thiava, Numidia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |