Thiago Motta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Thiago Motta.

Thiago Motta (alizaliwa 28 Agosti 1982) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa timu ya taifa ya Italia na klabu ya Paris Saint Germain.

Anacheza katika nafasi ya kiungo. Motta kabla ya kuichezea Paris Saint Germain aliichezea klabu ya Barcelona F.C. ya nchini Hispania.

Mwaka 2012 Motta alihamia Paris Saint Germain akitokea barcelona baada ya kukosa nafasi katika kikosi cha kwanza cha timu ya Barcelona.Katika mafanikio yake katika klabu amefanikiwa kubeba mataji matano ya LEAGUE 1 ya nchini Ufaransa.

Katika timu ya taifa Motta amefanikiwa kufika hatua ya fainali za EURO ZA mwaka 2012 katika timu ya taifa ya Italia.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Thiago Motta kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.