Nenda kwa yaliyomo

Themanini na saba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Themanini na saba (au saba na themanini) ni namba inayoandikwa 87 kwa tarakimu za kawaida na LXXXVII kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 86 na kutangulia 88.

Vigawo vyake vya namba tasa ni: 3 x 29.

Matumizi

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Themanini na saba kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.